Kiangkamuthi
Mandhari
Kiangkamuthi (pia Kianggamuthi) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waangkamuthi kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiangkamuthi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiangkamuthi iko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiangkamuthi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiangkamuthi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiangkamuthi katika Glottolog
- lugha ya Kiangkamuthi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiangkamuthi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |