Kialawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kialawa ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Waalawa katika jimbo la Northern Territory. Isichanganywe na lugha ya Kialagwa nchini Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kialawa ilihesabiwa kuwa watu kuminawawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialawa kiko katika kundi la Kimaran, yaani inahusiana na lugha ya Kimara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.