Kialago
Mandhari
Kialago ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waalago. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kialago imehesabiwa kuwa watu 35,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialago iko katika kundi la Kiidomoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kialago kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialago Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kialago katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ala
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialago kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |