Kiakebu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiakebu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo inayozungumzwa na Waakebu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiakebu imehesabiwa kuwa watu 56,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakebu iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakebu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.