Kiaghu-Tharnggala
Mandhari
Kiaghu-Tharnggala (pia Kiaghu-Tharnggalu) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waaghu-Tharnggala kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiaghu-Tharnggala ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaghu-Tharnggala iko katika kundi la Kipama cha Rarmul.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiaghu-Tharnggala kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaghu-Tharnggala Ilihifadhiwa 3 Aprili 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiaghu-Tharnggala katika Glottolog
- lugha ya Kiaghu-Tharnggala katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaghu-Tharnggala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |