Kiaer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaer ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Waaer. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiaer imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiaer iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaer kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.