Kiadangbe
Mandhari
Kiadangbe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Ghana inayozungumzwa na Waadangbe. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiadangbe nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 2000. Pia kuna wasemaji 200 tu nchini Ghana. Wataalamu wengine hudai kuwa Kiadangbe ni sawa na Kidangme. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadangbe iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiadangbe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiadangbe Archived 8 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiadangbe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/adq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiadangbe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |