Kidangme
Mandhari
Kidangme ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wadangme. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kidangme imehesabiwa kuwa watu 800,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidangme iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidangme kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidangme Archived 1 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidangme katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ada
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidangme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |