Kiabui
Mandhari
Kiabui ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waabui. Idadi ya wasemaji wa Kiabui imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabui iko katika kundi la Kialor.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiabui kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiabui Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiabui katika Glottolog
- lugha ya Kiabui kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiabui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |