Kiabinomn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiabinomn ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waabinomn. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiabinomn imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha , Kiabinomn haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabinomn kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.