Kiǃxóõ

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ki!xóõ (au Kitsasi) ni lugha ya Khoisan nchini Namibia na Botswana inayozungumzwa na Wa!xóõ. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Ki!xóõ nchini Botswana imehesabiwa kuwa watu 2000. Pia kuna wasemaji 500 nchini Namibia (2014). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Ki!xóõ kiko katika kundi la Kituu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiǃxóõ kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.