Khady Koita
Khady Koita (alizaliwa nchini Senegal) ni mwandishi wa vitabu.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Alipata malezi ya bibi yake katika mkoa wa Thiès, alilazimishwa kukeketwa na baadaye kuolewa na binamu yake akiwa na umri mdogo.[1]. Hakuweza kusema chochote kutokana na utamaduni haukumruhusu kusema hapana."[2]. Mwaka mmoja baadaye, alilazimika kuhamia nchini Ufaransa, ambapo aliishi na binamu yake kwa kipindi cha miaka 16.
Alifanikiwa kupata mtoto wa kwanza akiwa na umri wa miaka kumi na sita. Miaka miwili baadaye, mumewe aliongeza mke wa pili .[3].Kutokana na kuteseka kwa vurugu za ndoa Khady aliweza kuondoka na mtoto wake</ref> Suffering from violence, Khady managed to flee with her children[2] na baadae akapatiwa talaka mwaka 1988.
Kuanzia mwaka 1996, Koita ameishi nchini Ubelgiji.[4].MBpo alishirikiana na kundi la kukomesha ukeketaji kwa wanawake nchini Ubelgiji na akawa mwenyekiti Palabre chama kinachosaidia wanawake nchini Senegal.[5]. mbali ya kuwa mwanaharakati dhidi ya kupinga ukeketaji na mwanaharakati wa haki za wanawake pia kuanzia mwaka 2002 amekuwa mwenyekiti wa Euronet MGF (Mtandao wa Ulaya wa kuzuia na kukomesha ukeketaji kwa wanawake).[3][6][7]
Vitabu alivyoandika
[hariri | hariri chanzo]Alifanikiwa kuandika vitabu kadhaa.
Kitabu chake cha Kifaransa Mutilée kilichapishwa na OH Editions mwaka 2006. Toleo la lugha ya Kiingereza kilichoelezea Mtoto wa Afrika anavyohitaji haki za kibinadamu" Mwaka 2007, Koita alipewa tuzo ya BurgerschapsPrijs ya Ubelgiji P & V [nl].[4][5][3][8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Volet, Jean-Marie (Desemba 9, 2005). "Khady" (kwa Kifaransa). University of Western Australia.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 Kovacs, Stéphane. "Le cauchemar des femmes forcées au mariage", November 30, 2012. (fr)
- ↑ 3.0 3.1 3.2 Marsaud, Olivia. "Excision. Quand des femmes brisent le tabou", Radio France internationale, March 22, 2006. (fr)
- ↑ 4.0 4.1 "Burgerschapsprijs 2007 - Kadhy Koita". foundationpv.be (kwa Kiholanzi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (pdf) mnamo 2021-07-20. Iliwekwa mnamo 2021-07-20.
- ↑ 5.0 5.1 "Le combat de Khady Koita contre l'excision", TV5 Monde, April 3, 2013. (fr)
- ↑ "L'Académie de médecine part en guerre contre l'excision", June 10, 2004. (fr)
- ↑ Reding, Viviane. "Mutilations génitales féminines : tolérance zéro", March 8, 2013. (fr)
- ↑ Kearney, Seamus. "J’ai une rage terrible de voir que la mutilation continue", Euronews, March 4, 2013. (fr)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Khady Koita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |