Key West, Florida
Mandhari
Key West | |
Mahali pa mji wa Key West katika Marekani |
|
Majiranukta: 24°33′33″N 81°47′3″W / 24.55917°N 81.78417°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Florida |
Wilaya | Monroe |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 25,478 |
Tovuti: www.keywestcity.com |
Key West ni mji wa Marekani katika jimbo la Florida.
Ni mji ya kisiwa cha Florida Keys katika Ghuba ya Meksiko.
Key West iko 207 km kusini-magharibi ya mji ya Miami. Mji upo m 1 kutoka juu ya usawa wa bahari. Idadi ya makazi ni 25,478.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Florida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Key West, Florida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |