Kevin Healey
Mandhari
Kevin Healey (alizaliwa 27 Mei 1974) ni mwanaharakati wa autism. Pia anapambana dhidi ya unyanyasaji.
Harakati ya Autism
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka wa 2001, Healey alianzisha North Staffordshire Asperger's & Autism Association (NSAAA).[1] Mnamo mwaka wa 2007, Healey alianzisha Staffordshire Adults Autistic Society (SAAS), ambayo inatoa msaada kwa watu wazima wenye autism, ikiwa ni pamoja na shughuli kama vile matembezi pamoja na mipango ya elimu na huduma za simu za msaada.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Autism campaigner Kevin Healey: 'Hate crimes aren't taken seriously enough'", The Sentinel, 8 June 2015. Retrieved on 6 November 2015. Archived from the original on 2015-07-15.
- ↑ "Group reaches out to adults who are living with autism", The Sentinel, 21 July 2012. Retrieved on 6 November 2015. Archived from the original on 2015-11-17.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kevin Healey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |