Kevin De Bruyne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Ubelgiji
De Bruyne akiichezea timu ya Taifa ya Ubelgiji katika mashindano ya kombe la Dunia mwaka 2018

Kevin De Bruyne (alizaliwa 28 Juni 1991) ni mwana soka anayecheza katika kilabu ya Manchester City. Taifa lake ni Ubelgiji na anacheza timu yake ya taifa kama mshambuliaji.

Ni mchezaji mwenye ujuzi wa kulenga na kupiga mashuti.

Alianza kucheza soka huko Genk mwaka 2010-11 na mwaka 2012 alisajiliwa na Chelsea kwa £ 18 milioni na alicheza 2014-2015 na 2014 alicheza Kombe la Dunia na UEFA Euro 2016 na 2016 alisajiliwa kwenda Manchester City.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin De Bruyne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.