Kerege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Majiranukta kwenye ramani: 6°35′12″S 39°3′12″E / 6.58667°S 39.05333°E / -6.58667; 39.05333

Kona katika Kijiji cha Mapinga, Kerege

Kerege ni kata ya Wilaya ya Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61305 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,008 [2] walioishi humo.

Kerege iko kwenye barabara kuu takriban kilomita 35 kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo. Shule kubwa ya Baobab School iko hapa katika kijiji cha Mapinga.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bagamoyo - Mkoa wa Pwani - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Dunda | Fukayosi | Kerege | Kiromo | Kisutu | Magomeni | Makurunge | Mapinga | Nia Njema | Yombo | Zinga


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kerege kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.