Kenneth Cheruiyot
Mandhari
Kenneth Cheruiyot (alizaliwa 2 Agosti 1974) ni mwanariadha kutoka Kenya ambaye ni mtaalamu wa mbio za masafa marefu. Anasifika zaidi kwa kushinda mbio za Rotterdam Marathon mwaka 2000. Alimaliza wa pili katika mashindano hayo mwaka 2001 na 2002. Mwaka 2002 alianguka chini na kuvunjika mkono baada ya kukimbia kilomita 10, lakini bado aliweza kumaliza na hata kunyakua fedha.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tuirner, Chris. "Monaco Marathon, running strong ten years on – PREVIEW", IAAF, November 9, 2006. Retrieved on April 28, 2016.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kenneth Cheruiyot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |