Kemoh Kamara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kemoh Sidiki Kamara (alizaliwa Lassaou Gine, 3 Julai 1995) ni mchezaji wa Liberia ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Barrack Young.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Kamara alicheza kwa mara yake ya kwanza kimataifa katika timu ya taifa ya Liberia mwaka 2016.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kemoh Kamara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.