Kelsey-Lee Barber
Mandhari
Kelsey-Lee Barber (née Roberts; alizaliwa 20 Septemba 1991) ni mwanariadha wa uwanjani wa Australia ambaye anashindana katika kutupa javelin[1].
Alishinda dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya 2019, na ka ubora binafsi wa m 67.70; safu yake ya 13 katika orodha ya jumla.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kelsey-Lee Barber", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-08, iliwekwa mnamo 2021-12-26