Kawanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kituo cha Taxi huko Kawanda.

Kawanda ni mji katika wilaya ya Wakiso huko Uganda ya Kati.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Mji huo uko katika parokia ya Kawanda, Kaunti ndogo ya Nabweru.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. LCMT, . (13 August 2015). "Welcome to the Land Conflict Mapping Tool: Nabweru Subcounty: Parishes In Nabweru Subcounty". Land Conflict Mapping Tool (LCMT). Iliwekwa mnamo 13 August 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)