Katie Stengel
Mandhari
Katherine Nicole Stengel (alizaliwa 29 Februari 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Marekani, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Crystal Palace F.C, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), na timu ya taifa Marekani.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://web.archive.org/web/20191217180051/http://www.fifadata.com/document/FU20W/2012/pdf/FU20W_2012_SquadLists.pdf
- ↑ "Crystal Palace sign NJ/NY Gotham FC forward Stengel". Yahoo Sports (kwa American English). 2024-09-13. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Katie Stengel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |