Katie Bouman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katherine Louise Bouman [1] alizaliwa mwaka 1989 ni mhandisi wa Kimarekani na mwanasayansi wa kompyuta anayefanya kazi katika kuboresha taswira za kompyuta na alikuwa mwanachama wa timu ya Event Horizon Telescope iliyonasa picha ya kwanza ya shimo jeusi. [2] [3] [4]

Maisha ya mapema na elimu[hariri | hariri chanzo]

Bouman alikulia huko West Lafayette, Indiana . Baba yake, Charles Bouman, ni profesa wa uhandisi wa umeme na kompyuta na uhandisi wa matibabu katika Chuo Kikuu cha Purdue . [5]

Kama mwanafunzi wa shule ya upili, Bouman alifanya utafiti wa picha katika Chuo Kikuu cha Purdue. Alihitimu shule ya upili ya West Lafayette Junior-Senior mnamo 2007. [6]

Utafiti na taaluma[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kupata udaktari wake, Bouman alijiunga na Chuo Kikuu cha Harvard kama mwanafunzi anaesoma Event Horizon Telescope Imaging. [7] [8] [9]

A blurry photo of a supermassive black hole in M87.
Picha ya kwanza ya moja kwa moja ya shimo jeusi, iliyoonyeshwa na Darubini ya Tukio ya Horizon na kuchapishwa mnamo Aprili 2019.

[10]


Marejeleo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katie Bouman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Bouman. Katie Bouman | Speaker | TED (en). www.ted.com. Iliwekwa mnamo April 10, 2019.
  2. "How Katie Bouman Accidentally Became the Face of the Black Hole Project". 
  3. Anon (April 11, 2019). The woman behind first black hole image. bbc.co.uk. BBC News.
  4. (April 2019) Focus on the First Event Horizon Telescope Results — the series of articles in The Astrophysical Journal Letters which report the EHT results.
  5. Bangert (April 10, 2019). That first-ever black hole picture? A West Lafayette grad played a big part (en). Journal & Courier. Iliwekwa mnamo April 10, 2019.
  6. Bangert (April 10, 2019). That first-ever black hole picture? A West Lafayette grad played a big part (en). Journal & Courier. Iliwekwa mnamo April 10, 2019.Bangert, Dave (April 10, 2019). "That first-ever black hole picture? A West Lafayette grad played a big part". Journal & Courier
  7. Katie Bouman (en). bhi.fas.harvard.edu. Jalada kutoka ya awali juu ya April 10, 2019. Iliwekwa mnamo April 10, 2019.
  8. Professor Katie Bouman (Caltech): " Imaging a Black Hole with the Event Horizon Telescope" (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya April 10, 2019. Iliwekwa mnamo April 10, 2019.
  9. Project bids to make black hole movies (en-GB). BBC News (February 16, 2017). Iliwekwa mnamo April 10, 2019.
  10. WGSBN Bulletin Archive. Working Group Small Body Nomenclature (June 16, 2021). (Bulletin #3)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • Katie Bouman publications indexed by Google Scholar