Kathryn Sophia Belle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Belle speaking at the University of San Francisco, February 21, 2014

Kathryn Sophia Belle, zamani alijulikana kama Kathryn T. Gines; (alizaliwa Julai 2, 1978), ni mwanafalsafa, profesa katika Chuo Kikuu cha jimbo la Pennsylvania.[1]

Kazi zake nyingi zimelenga kuongeza utofauti ndani ya falsafa, na yeye ndiye mkurugenzi mwanzilishi wa Collegium of Black Women Philosophers.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. DesAutels, Peggy. "Kathryn Gines: July 2013". Highlighted Philosophers. American Philosophical Association. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-16. Iliwekwa mnamo 26 August 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kathryn Sophia Belle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.