Katalemwa

Majiranukta: 00°24′27″N 32°35′06″E / 0.40750°N 32.58500°E / 0.40750; 32.58500
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Katalemwa katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°24′27″N 32°35′06″E / 0.40750°N 32.58500°E / 0.40750; 32.58500

Katalemwa ni kitongoji katika wilaya ya Wakiso katika Mkoa wa Kati huko Uganda.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Katalemwa iko kwenye barabara ya Kampala-Gayaza, takribani kilomita 10 (maili 6), kaskazini mwa Kampala, mji mkuu na jiji kubwa zaidi la Uganda.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Globefeed.com (1 December 2019). "Distance between Bank of Uganda, Kampala City Centre, Kampala, Uganda and Katalemwa, Wakiso District, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 1 December 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)