Nenda kwa yaliyomo

Kaswida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kaswida au Kasida (kutoka قصيدة, qaṣīdaᵗ, neno la Kiarabu lenye maana ya muziki) ni tungo zinazoghaniwa ili kumsifu Muhammad hasa katika adhimisho la Maulid[1] au mtu mwingine, kitu au jambo maalumu.

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaswida kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.