Nenda kwa yaliyomo

Kassel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


kituo cha reli cha Kassel

Kassel ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Weser. Idadi ya wakazi wake ni takriban 194,700. Mji ulianzishwa 913.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kassel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.