Kasper Schmeichel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kasper Schmeichel

Kasper Peter Schmeichel ( alizaliwa 5 Novemba 1986) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Leicester city na timu ya taifa ya Denmark. Yeye mtoto wa peter schmeichel ambaye alikuwa naye anacheza kama kipa wa klabu ya manchester united.


Schmeichel kucheza kwa Leicester City mwaka 2012 Mnamo tarehe 27 Juni 2011, Schmeichel alithibitishwa rasmi kama mchezaji wa Leicester, akiweka saini mkataba wa miaka mitatu kwa ada isiyojulikana.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kasper Schmeichel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.