Nenda kwa yaliyomo

Kasoko ya Olmoti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kasoko ya Olmoti ni mlima wenye asili ya volkeno kaskazini mwa Tanzania.

Mlima una kimo cha mita 3,076 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]