Kasawo

Majiranukta: 00°40′48″N 32°49′30″E / 0.68000°N 32.82500°E / 0.68000; 32.82500
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kasawo katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°40′48″N 32°49′30″E / 0.68000°N 32.82500°E / 0.68000; 32.82500

Kasawo ni eneo la mji katika wilaya ya Mukono, Mkoa wa Kati huko Uganda.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Kasawo ni takribani kilomita 62 (maili 39), kwa barabara, kaskazini mashariki mwa Kampala, mji mkuu na jiji kubwa zaidi wa Uganda.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. GFC (15 March 2016). "Distance between Kampala Road, Kampala, Central Region, Uganda and Kasawo Muslim Primary School, Kasawo, Central Region, Uganda". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 15 March 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)