Karolina Kózka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi pekee ya Karolina.

Karolina Kózka (2 Agosti 1898 - 18 Novemba 1914) aliwa mhanga wa mashambulizi ya kingono na mauaji wa Polandi mwenye umri wa miaka kumi na tano.[1] Kabla ya hapo, alifahamika na jamii kama mtu mwenye imani na hamu yake katika kutoa mafunzo ya kidini kwa majirani na watoto.

Kózka amekuwa akirejelewa kama "Maria Goretti wa Polandi" kutokana na aina ya kifo chake.[2][1][3]

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 10 Juni 1987.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 CatholicSaints.Info » Blog Archive » Blessed Karoliny Kózkówny (en-US). Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
  2. The Blessed Karolina Kózka. sanktuariumzabawa.pl. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
  3. Beata Carolina Kozka. Santiebeati.it. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.