Karol Linetty
Mandhari

Karol Linetty (alizaliwa 2 Februari 1995) ni mchezaji wa soka wa Polandi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Sampdoria na timu ya taifa ya Polandi.
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Mnamo Mei 2018 alitajwa katika kikosi cha kwanza cha kuiwakilisha timu ya taif ya Polandi katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Urusi.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karol Linetty kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |