Karlsruhe
Jump to navigation
Jump to search
Karlsruhe | |||
|
|||
Mahali pa mji wa Karlsruhe katika Ujerumani | |||
Majiranukta: 49°1′N 8°24′E / 49.017°N 8.4°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Baden-Württemberg | ||
Idadi ya wakazi | |||
- | 290,736 | ||
Tovuti: www.karlsruhe.de |
Karlsruhe ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 290,000. Mji ulianzishwa 1715.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karlsruhe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |