Nenda kwa yaliyomo

Karl Olive

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karl Olive

Karl Olive (alizaliwa tarehe 29 Machi 1969) ni mwandishi wa habari wa michezo kutoka Ufaransa, mtayarishaji wa televisheni, mjasiriamali na mwanasiasa ambaye amekuwa mwakilishi wa jimbo la 12 la Yvelines katika Bunge la Kitaifa tangu mwaka 2022. Yeye ni mwanachama wa zamani wa chama cha The Republicans (LR), alichokihama mwaka 2019 kabla ya kujiunga na La République En Marche! (LREM, sasa Renaissance) mwaka 2022.[1]

  1. "M. Karl Olive - Yvelines (12e circonscription) - Assemblée nationale". www2.assemblee-nationale.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2022-09-19.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Olive kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.