Karl Hjalmar Branting

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karl Hjalmar Branting

Karl Hjalmar Branting (23 Novemba 186024 Februari 1925) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uswidi. Kati ya miaka ya 1920 na 1925 alikuwa Waziri Mkuu wa Uswidi mara tatu. Mwaka wa 1921, pamoja na Christian Lous Lange alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Hjalmar Branting kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.