Kareem Adepoju

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alhaji Kareem Adepoju (anajulikana zaidi kama "Baba Wande") ni mwandishi, mwigizaji na mtayarishaji wa filamu wa Nigeria.

Alianza kuigiza mwaka 1993 akicheza kama "Oloye Otun" katika filamu iitwayo Ti Oluwa Ni Ile.[1][2][3]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  • Ti Oluwa Ni Ile
  • Ayọ Ni Mọ Fẹ
  • Abeni
  • Arugba
  • Igbekun
  • Òbúko Dúdú
  • Ika lomo ejo
  • Enu Eye(2010)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Veteran Actor, Baba Wande Talks About Buhari And GEJ", Naij, 8 April 2015. Retrieved on 4 December 2015. 
  2. "Veteran Actor, Baba Wande Talks About Buhari And GEJ", Naij, 8 April 2015. Retrieved on 4 December 2015. 
  3. Akinwumi Adesokan (21 October 2011). Postcolonial Artists and Global Aesthetics. Indiana University Press. ku. 87–. ISBN 0-253-00550-7.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kareem Adepoju kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.