Kampaundi ogania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kampaundi ogania ni kampaundi za kikemia zenye atomi za kaboni zilizoingia katika muungo kemia na hidrojeni.

Kampaundi hizi zinajenga kiwango kikubwa cha mata ogania iliyopo duniani.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kampaundi ogania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.