Kaizari Maximilian II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaizari Maximilian II

Maximilian II (31 Julai 152712 Oktoba 1576) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1564 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Ferdinand I, na kufuatiwa na Rudolf II.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Maximilian II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.