Kaizari Ferdinand I

Ferdinand I (10 Machi 1503 – 25 Julai 1564) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1558 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Karoli V, na kufuatiwa na Maximilian II.
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Ferdinand I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |