Kafui Danku
Mandhari
Kafui Danku | |
Kazi yake | Mtayarishaji wa filamu na Muigizaji wa (Ghana) |
---|---|
Ndoa | Aliolewa na Raia wa Nchini (Kanada) |
Watoto | Alijaliwa kupata watoto wawili |
Mahusiano | Ameolewa |
Kafui Danku ni mtayarishaji wa filamu na mwigizaji nchini Ghana anajulikana sana kutokana na uhusika wake ndani ya filamu kama Any Other Monday, Alvina: Thunder pamoja na Lightning, I Do. .[1][2][3][4] na pia ni muadhishi wa kitabu cha Silence Is Not Golden [5]
Danku alisoma shule ya upili ya wasichana ya OLA Girls Senior High School iliyopo mkoa wa Volta nchini Ghana na kuendelea na masomo yake katika Chuo kikuu cha University of Cape Coast .[3] aliolewa na raia wa nchini Kanada na kujaliwa kupata watoto wawili .[6][7] .[8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Actress Kafui Danku has given birth". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Trailer: Kafui Danku to premiere 'Any Other Monday' on March 4". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 3.0 3.1 Mawuli, David. "Kafui Danku: Actress And Producer Says, Romantic Roles In Movies Do Not Affect Her Marriage Life". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-10. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kafui Danku". IMDb (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-12-14.
- ↑ "Kafui Danku launches 'Silence Is Not Golden' book; urges women to speak out". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Arthur, Portia. "Just A Number !!! Marriages with old men are the best - Kafui Danku". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-10. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "GOSSIP: Actress Kafui Danku & White Husband Are Splitting? - We've Just Spoken to Her About This... - Ghanacelebrities.com". 26 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-23. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kafui Danku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |