Nenda kwa yaliyomo

Kabujogera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kabujogera katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°05′43″S 30°23′49″E / 0.09528°S 30.39694°E / -0.09528; 30.39694

Kabujogera ni makazi katika wilaya ya Kitagwenda katika Mkoa wa Magharibi huko Uganda.

Ni moja ya manispaa mbili katika wilaya mpya ya Kitagwenda, nyingine ikiwa halmashauri ya mji wa Ntara ambapo makao makuu ya wilaya yanapatikana.[1]

  1. Christopher Tusiime (28 Juni 2019). "Kamwenge District Bids Farewell to Kitagwenda". Kampala: Uganda Radio Network. Iliwekwa mnamo 28 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)