Nenda kwa yaliyomo

K'naan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
K'naan mwaka 2024

'Keinan Abdi Warsame (Kaynān ʿAbdi Warsama, anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii K'naan; 'alizaliwa 16 Aprili 1978) ni rapper, mwimbaji, na mtayarishaji wa filamu wa Somalia na Kanada.[1][2]

  1. "Beautiful Dreamer". Thestranger.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Egere-Cooper, Matilda (30 Mei 2006). "K'Naan: Rapping about War". The Independent. London. Iliwekwa mnamo 14 Mei 2007.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu K'naan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.