Jumuiya ya Wanablogu Tanzania
Mandhari
Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania (kifupi: Jumuwata) ni chama cha wanablogu wa Tanzania.
Chama hicho kinaongozwa na Ramadhani Msangi (Mwenyekiti), Simon Kitururu (Katibu) na Da Mija (Mweka Hazina).
Nia ya Jumuwata ni kusaidia Watanzania kuweza kufaidika na mabadiliko ya teknolojia kama vile blogu, podikasti, n.k.