Nenda kwa yaliyomo

Jumba la AACC, Nairobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jumba la AACC,Nairobi)

Jumba la AACC ni jumba la mikutano na la ofisi. Liko katika eneo la Westlands, Nairobi, Kenya. Liko mkabala wa jumba la Safaricom.