Juliet Appiah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juliet Appiah (alizaliwa 1989) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa chama cha soka cha Ghana katika Ligi kuu ya Ghana . Pia ni afisa wa polisi wa Ghana. Mnamo mwaka 2018, alikua Polisi wa kwanza nchini Ghana kutunukiwa leseni ya uamuzi wa FIFA. [1]

Kazi ya Uamuzi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Februari 2018 Chama cha Soka cha Ghana kilipokea kibali kutoka FIFA kwa waamuzi 22 wa Ghana ambao walikuwa wametuma maombi ya leseni za uamuzi wa kimataifa. Juliet Appiah amekuwa afisa wa polisi wa kwanza wa Ghana kutunukiwa beji ya mwamuzi wa FIFA. [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Referee Juliet Appiah presents FIFA badge to IGP". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Mei 4, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Referee Juliet Appiah presents FIFA badge to IGP". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Mei 4, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)"Referee Juliet Appiah presents FIFA badge to IGP". www.ghanaweb.com.
  3. "Education & Technical – Referees by Association". FIFA.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 7, 2015. Iliwekwa mnamo Mei 4, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juliet Appiah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.