Nenda kwa yaliyomo

Juliarti Rahayu Gunawan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juliarti Rahayu Gunawan (anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Juliarti Rahayu, alizaliwa 20 Novemba 1960) ni muigizaji, mjasiriamali, mrembo na mtangazaji kutoka Indonesia. Alishinda taji la Miss Universe Indonesia 1976 na akaenda kumrepresenta Indonesia katika shindano la Miss Universe 1976 lililofanyika Hong Kong.[1][2]

  1. Fajar Riadi. "Lenggang Kontes di Tengah Protes", historia.id. Retrieved on 2024-12-11. Archived from the original on 2023-01-17. 
  2. Ria Monika. "Jejak Indonesia di Miss Universe, Laksmi DeNeefe Jadi Perwakilan Ke-26", pilihanindonesia.com. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juliarti Rahayu Gunawan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.