Julian Bahula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Julian Bahula (13 Machi 1938 - 1 Oktoba 2023) aikuwa mpiga ngoma, mtunzi na kiongozi wa bendi kutoka nchini Afrika Kusini, aliyeishi Uingereza.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Sebothane Julian Bahula alizaliwa Eersterust, Pretoria. Kwanza alipata sifa ya kuwa mpiga ngoma katika bendi ya Malombo. [1] Alihamia Uingereza mwaka 1973 na baadae akaanzisha kundi la Jabula, [2] ambalo mwaka 1977 liliungana na kundi la mpiga saksafoni Dudu Pukwana kuunda kundi moja la Jabula Spear.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Eugene Chadbourne, Julian Bahula biography, Music.
  2. "Jabula" Archived 9 Agosti 2020 at the Wayback Machine., Strut Records, 21 October 2014.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julian Bahula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.