Judwaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Judwaa (tafsiri: Mapacha) ni filamu ya vichekesho ya Kihindi ya mwaka 1997, iliyoongozwa na David Dhawan, iliyotayarishwa na Sajid Nadiadwala na mhusika mkuu katika filamu hii ni Salman Khan aliyecheza kama Raja na Prem.

Filamu hii ilitolewa mnamo 7 Februari 1997. Wahusika wengine ni Salman Khan kama Raja / Prem Malhotra, Karishma Kapoor kama Mala Sharma, Rambha Rambha kama Roopa, Bindu Bindu kama Sundari Batwani, mama yake Roopa, Kader Khan kama Sharma Saab, baba ya Mala, Shakti Kapoor kama Rangeela, Anupam Kher kama Mkaguzi / Havaldar Vidyarthi, Satish Shah kama Havaldar / Mkaguzi, Omkar Kapoor kama Raja mdogo, Mukesh Rishi kama Ratanlal Tiger, Dalip Tahil kama S.P. Malhotra, baba ya Prem na Raja, Reema Lagoo kama mama wa Prem na Raja, na Tiku Talsania kama shemeji wa Sharma.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judwaa kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.