Nenda kwa yaliyomo

Jubilii ya Dhahabu ya Malkia Victoria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rangi ya maji ya William Lionel Wyllie inayoonyesha yacht ya kifalme ikikagua mistari ya meli za kivita kwenye ukaguzi wa Spithead.
Two sides of a coin, with head view of Victoria on one side and a design on the other
Victoria's Golden Jubilee silver double florin, ilifanyika 1887

Jubilii ya Dhahabu ya Malkia Victoria ilifanyika tarehe 20 na 21 Juni 1887 kwa kusherehekea miaka 50 tangu Malkia Viktoria achukue kiti cha enzi tarehe 20 Juni 1837.

Sherehe hizo zilijumuisha Ibada ya Shukrani katika Kanisa la Westminster Abbey, na karamu ambayo wafalme na wakuu 50 wa Ulaya walialikwa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Victoria Marked Golden Jubilee With Fireworks", June 1, 2002. "After 50 years as ruler of the British Empire, Queen Victoria celebrated her Golden Jubilee by inviting 50 foreign kings and ..." 
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jubilii ya Dhahabu ya Malkia Victoria kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.