Nenda kwa yaliyomo

Juan Bautista de Anza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Juan Bautista de Anza

Juan Bautista de Anza Bezerra Nieto (6 au 7 Julai 173619 Desemba 1788)[1] alikuwa kiongozi wa msafara, afisa wa jeshi, na mwanasiasa hasa katika California na New Mexico chini ya Utawala wa Hispania. Anahesabiwa kama mmoja wa waanzilishi wa California ya Kihispania na alihudumu kama gavana wa jimbo la New Mexico katika koloni la Hispania Mpya.

  1. Garate, Donald T. (2003). Juan Bautista de Anza: Basque Explorer in the New World, 1693–1740. Reno, Nevada: University of Nevada Press. uk. 155. ISBN 0-87417-626-3.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juan Bautista de Anza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.