Juan Ardila
Mandhari
Juan Ardila ni mwanasiasa wa Marekani ambaye ni mjumbe wa Bunge la Jimbo la New York kwa wilaya ya 37. Aliechaguliwa katika uchaguzi wa Novemba 2022 na alikalia wadhifa huo kuanzia Januari 1, 2023.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Parry, Bill (2022-02-17). "Ardila announces campaign to replace Assemblywoman Cathy Nolan". qns.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-12-31.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juan Ardila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |